Parts of this page are in Swahili. Edit translations
Development Association for Tanzanians inataraji kuzindua rasmi ofisi yake mpya ya Kanda ya Pwani itakayokuwa Mkuranga. Uzinduzi huo unatarajia kufanyika mapema mwezi June.
Comments (0)
Development Association for Tanzanians inataraji kushiriki katika ulingo wa maendeleo mkoani Pwani utakaofanyika tarehe 5/05/2010. Mada kuu ya ulingo huo ni KUJADILI RASIMU YA MKUKUTA II