Vijana katika JUKWAA LA VIJANA lililokutanisha wenyeviti wa jumuiya za vijana za vyama vya CCM(UVCCM), CHADEMA(BAVICHA) na CUF(JUMUIYA YA VIJANA) wilaya ya Tabora Manispaa.
Mkurugenzi Mtendaji wa CYF ambaye alikuwa ndiye mwenyekiti wa JUKWAA LA VIJANA
Vijana katika JUKWAA LA VIJANA lililokutanisha wenyeviti wa jumuiya za vijana za vyama vya CCM(UVCCM), CHADEMA(BAVICHA) na CUF(JUMUIYA YA VIJANA) wilaya ya Tabora Manispaa.
WEZESHA SERA YA TAIFA YA MAENDELEO YA VIJANA ITUMIKE KWA VIJANA
Bango la CYF kama linavyoonekana pichani
MIJADALA YA EWURA CCC / WORLD BANK MKOANI TABORA
Vijana kutoka katika kata mbali mbali ndani ya Manispaa ya Tabora, wakijadili mada zinazowezeshwa na EWURA CCC/ WORLD BANK. Mijadala hiyo ni juu ya masuala ya Maji safi na taka, Nishati ya Mafuta, Gesi na Umeme.
KUTANDAA NI JUKUMU LA CYF PIA.
Wajumbe wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET) katika picha ya pamoja wakati wa mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Ubungo Plaza - Dar es Salaam. Mkurugenzi wa CYF Bw. A. D. Pigangoma (aliyesimama mstari wa mbele wa 5 kutoka kushoto)