Envaya
Parts of this page are in Swahili. Edit translations

KUTANDAA NI JUKUMU LA CYF PIA.

Wajumbe wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET) katika picha ya pamoja wakati wa mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Ubungo Plaza - Dar es Salaam. Mkurugenzi wa CYF Bw. A. D. Pigangoma (aliyesimama mstari wa mbele wa 5 kutoka kushoto)

WEZESHA SERA YA TAIFA YA MAENDELEO YA VIJANA ITUMIKE KWA VIJANA

Vijana wa kata ya Mbugani wakisoma changamoto zilizopo kwenye Sera ya Taifa ya Maendeleo ya Vijana.

WEZESHA SERA YA TAIFA YA MAENDELEO YA VIJANA ITUMIKE KWA VIJANA

Vijana wa Kata ya Mbugani wakijadili changamoto na matamko ya sera ya Taifa ya Maendeleo ya Vijana katika majukwaa yanayoendeshwa na CYF

WEZESHA SERA YA TAIFA YA MAENDELEO YA VIJANA ITUMIKE KWA VIJANA

Mtendaji wa fedha Bi Catheline Isaac na Bw. Jonathan Tema - mtendaji wa majukwaa ya vijana wakibadilishana mawazo wakati wa michakato ya midahalo.

WEZESHA SERA YA TAIFA YA MAENDELEO YA VIJANA ITUMIKE KWA VIJANA

Mkurugenzi Mtendaji - Alfred Pigangoma (mwenye suti) akibadilishana mawazo na Mr. David Mtinya - kutoka asasi ya TACEDE wakati wa majukwaa ya vijana.

WEZESHA SERA YA TAIFA YA MAENDELEO YA VIJANA ITUMIKE KWA VIJANA

Mrejesho wa pamoja baada ya majadiliano ya Sera ya Taifa ya Maendeleo ya Vijana. Majadiliano yanayoendeshwa na asasi yetu ya CYF.

WEZESHA SERA YA TAIFA YA MAENDELEO YA VIJANA ITUMIKE KWA VIJANA

Vijana wa kata ya Kanyenye wakiwa katika Majadiliano juu ya Changamoto na Matamko ya Sera ya Taifa ya Maendeleo ya Vijana.

WEZESHA SERA YA TAIFA YA MAENDELEO YA VIJANA ITUMIKE KWA VIJANA

Vijana wa kata ya Kanyenye, Manispaa ya Tabora wakiwasirisha baada ya kujadiliana juu ya yale yaliyoandikwa kwenye sera ya Taifa ya Maendeleo ya Vijana.

WEZESHA SERA YA TAIFA YA MAENDELEO YA VIJANA ITUMIKE KWA VIJANA

Vijana wakitafakari baada ya mirejesho ya changamoto na matamko ya Sera ya Taifa ya Maendeleo ya Vijana.