Vijana wa kata ya Ipuli, Manispaa ya Tabora wakiwa kwenye Youth Forum kwa ajili ya kupitia sera ya Taifa ya Maendeleo ya Vijana 2007. katika mradi wa WEZESHA SERA YA TAIFA YA MAENDELEO YA VIJANA ITUMIKE KWA VIJANA
Vijana katika JUKWAA LA VIJANA lililokutanisha wenyeviti wa jumuiya za vijana za vyama vya CCM(UVCCM), CHADEMA(BAVICHA) na CUF(JUMUIYA YA VIJANA) wilaya ya Tabora Manispaa.
Mkurugenzi Mtendaji wa CYF ambaye alikuwa ndiye mwenyekiti wa JUKWAA LA VIJANA
Vijana katika JUKWAA LA VIJANA lililokutanisha wenyeviti wa jumuiya za vijana za vyama vya CCM(UVCCM), CHADEMA(BAVICHA) na CUF(JUMUIYA YA VIJANA) wilaya ya Tabora Manispaa.
WEZESHA SERA YA TAIFA YA MAENDELEO YA VIJANA ITUMIKE KWA VIJANA
Bango la CYF kama linavyoonekana pichani
MIJADALA YA EWURA CCC / WORLD BANK MKOANI TABORA
Vijana kutoka katika kata mbali mbali ndani ya Manispaa ya Tabora, wakijadili mada zinazowezeshwa na EWURA CCC/ WORLD BANK. Mijadala hiyo ni juu ya masuala ya Maji safi na taka, Nishati ya Mafuta, Gesi na Umeme.