Ninapenda kutoa fursa kwa wadau mbalimbali wa maendeleo jinsi ya kuboresha utendaji kazi katika jamii zetu.CHACODE ni asasi changa lakini imejidhatiti kusimama kidete ili kuhakikisha malengo yake yanatimia.Hata hivyo ukiwa mdau muhimu wa maendeleo toa maoni yako namna ya kuboresha kazi zetu