Envaya

large.jpg

19 Juni, 2011
Ifuatayo »

Maoni (4)

Mkurugenzi Mtendaji wa Asasi ya CHACODE,Thadei Hafigwa akichangia sera za maendeleo katika mkutano wa wadau wa maendeleo walioshirikishwa wanahabari.Huu ni mwanzo wa kuleta nguvu ya pamoja kwa wanaasasi katika kusukuma maendeleo ya jamii
19 Juni, 2011
Panduka, John Mwl. (Chalinze ICT centre) alisema:
Mimi ni mdau wa habari na mawasiliano Chalinze -(CHALINZE ICT CENTRE); bahati mbaya sijaona wala kukutanana ninyi katika harakati zenu.
Lakinia nimefurahi kukutana na habari zenu kumbe tupo pamoja. Lakini sasa mko wapi? Mbona hasikiki?
Ningependa tuwasiliane kwani nami ni mdau wa maendeleo.
5 Julai, 2011 (ilihaririwa 5 Oktoba, 2011)
Panduka, John Mwl. (Chalinze ICT centre) alisema:
Unaweza kutembelea blog yetu
chalinzetelecentre.blogspot.com

email chalinzetelecentre@gmail.com
5 Julai, 2011 (ilihaririwa 5 Oktoba, 2011)
ndugu Panduka,Mbona kimya tuendelee kuwasiliana
21 Februari, 2012

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.