Envaya
Parts of this page are in Swahili. Edit translations

CDDF imezindua mradi  wa BUSTANI YA DHARURA KWA FAMILIA (kwa kingereza FAMILLY EMERGENCY GARDEN) FEG.  Mradi huu umetekelezwa sehemu nyingi duniani na kuleta mafanikio makubwa.

Mradi huu unasaidia kuboresha lishe,kupunguza matumizi ya kununua mboga sokoni ili fedha hiyo itumike kwa mahitaji mengine na kusaidia akina mama kupata mahitaji karibu wakiwa kwenye maandalizi yao ya jikoni.

Picha hizo ni maumbo mbalimbali ya BUSTANI YA DHARURA KWA FAMILIA(FEG)

September 27, 2012
« Previous Next »

Add a comment

Your name:
Your location:
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.