UMOJA WA WAZAZI TANZANIA SHULE YA SEKONDARI BOZA S.L.P 87 SIMU 0272630065 /0713-935 335/ 078 539 141 Email:bozasec@yahoo.com.PANGANI FOMU YA MAOMBI YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2015 JAZA FOMU HII KWA USAHIHI NA HERUFI KUBWA FOMU NAMBA:_________________ A . (I)Fomu inatolewa kwa malipo ya Tshs. 5000/=[elfu tano tu] (II)SHULE ILIKO NA ILIVYO: Shule iko katika wilaya ya Pangani,Mkoa wa Tanga ,Bweni na kutwa wasichana na wavulana,kuanzia kidato cha kwanza hadi cha nne. Shule inatoa taaluma ya masomo yafuatayo; a) Hisabati (b) Kemia (c) Fizikia (d) Elimu viumbe (e) Kiingereza (f) Kiswahili g) Historia (h) Jiografia (i) Uraia. Pia shule inatoa mafunzo ya ufundi ufuatao a .Umeme b. Uashi c . Useremala d. Bomba (III)Karo ni nafuu kwa wazazi wenye kipato cha chini. B. TAARIFA ZA MWANAFUNZI MWOMBAJI 1 ………………………… ……………………………… ………………………………………… (Jina la mwanafunzi) (Jina la baba) (Jina la ukoo) 2. Jinsia msichana/ mvulana…………………………………………………………………………………… 3. Wilaya aliyotoka …………………………………………………(ii)tarehe ya kuzaliwa…………………… 4. Wilaya anayoishi………………………………………………………………………………………… 5. Mkoa…………………………………………………………………………………………………………… 6. Mwaka wa kumaliza darasa la saba……………………………………………………………………… 7. Namba ya mtihani………………………………………………………………………………………….. 8. Alama alizopata katika mtihani(%)Hisabati……………………………..Lugha………………………… 9. Jina na sahihi ya mwalimu mkuu………………………………………………………………………….. 10 .Muhuri wa mwalimu mkuu………………………………………………………………………………… 11.Jina la mzazi /mlezi…………………………………………………………………………………………. 12.Anwani………………………………………………………………………………………………………… 13.Kazi…………………………………………………………………………………………………………… 14.Namba ya simu (kama ipo)ya kazini……………………………… ya nyumbani……………………… Ya jirani…………………… 15.Picha ya passpoti ibandikwe juu ya fomu hii na zingine tatu ziletwe kwa matumizi ya Ofisi.Picha zitakazotolewa ziandikwe jina la mwanafunzi. Fomu isiyobandikwa picha ni batili. C . AHADI MAALUM Kwa Mzazi/Mlezi. (I) Mtoto wangu akichaguliwa itanipasa nifuate taratibu zote za shule. (ii)Nakubali kumlipia ada ya shule na kumpatia mahitaji mengine muhimu yanayohitajika shuleni mwanzo wa kila muhula ili asiache masomo na kuja nyumbani kufuata mahitaji hayo. Tarehe……………………………………………………………. Sahihi…………………………………………………………….. D. TANBIHI. . 1 Fomu hii ijazwe kwa usahihi na ukweli 2.Tarehe ya mwisho ya kurudisha fomu hii ni tarehe……………………………………………………. 3.Fomu hii ikishajazwa irudishwe / itumwe shuleni BOZA mara moja ili isisahaulike. Nakutakia maandalizi mema. ………………………………………………………….. |
MKUU WA SHULE
UMOJA WA WAZAZI TANZANIA
SHULE YA SEKONDARI NA UFUNDI BOZA
(BOZA SECONDARY AND VOCATIONAL SCHOOL)
S.L.P. 87,PANGANI-TANGA
Email:bozasecondary@yahoo.com simu na:0713-935 335
0784 539 141
MAHALI SHULE ILIPO
Shule ya sekondari na ufundi Boza ilianzishwa mwaka 1977. Shule hii ipo mkoa wa Tanga,wilaya ya Pangani, kijiji cha Boza. Kutoka Tanga mjini au Pangani mjini shuka kibaoni Boza njia panda ya Muheza,kasha fuata barabara ya Muheza mwendo wa km 1 utaona kibao cha kuingia shuleni mkono wa kushoto.Ukitokea Muheza unashuka kwenye kibao cha kuingilia shuleni. Shule ipo kandokando ya Bahari ya Hindi.
- Shule imesajiliwa (REG.NO.S.0221) na namba ya mtihani iliyosajiliwa ni (EXAM.NO.S.0395).
- Shule ni ya bweni na kutwa kwa wasichana na wavulana.
- Masomo yanayofundishwa ni;
HISTORY, CIVICS,GEOGRAPHY, KISWAHILI, ENGLISH, CHEMISTRY, BIOLOGY, na BASIC MATHEMATICS
- Masomo ya ufundi yanayofundishwa ni; USEREMALA (CARPENTRY AND JOINERY), UASHI (MASONRY AND BRICK LAYING), BOMBA(PLUMBING AND PIPE FITING) na UMEME WA MAJUMBANI (Eletrical installation).
- Shule ina mazingira tulivu ya kujisomea.
- Shule ya sekondari Boza ina walimu wazoefu na wachapakazi.
- Ada ni nafuu ikilinganishwa na huduma zitolewazo.
KARIBUNI WOTE BOZA SEKONDARI.
TANGAZO TANGAZO TANGAZO
MKUU WA SHULE YA SEKONDARI NA MAFUNZO YA UFUNDI BOZA, ANAWATANGAZIA WAZAZI,WALEZI NA WANAFUNZI WALIOMALIZA DARASA LA SABA KUWA;
- NAFASI BADO ZIPO ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA HUU WA 2013
- NAFASI KWA WANAOTAKA KUHAMIA VIDATO VYA II,III,NA IV ZIPO.
- NAFASI ZIPO KWA WANAOTAKA KUSAFISHA VYETI VYAO VYA KIDATO CHA NNE YAANI
(RESEATERS).
MASOMO YANAYOFUNDISHWA BOZA SEKONDARI NI;
CIVICS,HISTORY,GEOGRAPHY,KISWAHILI,ENGLISH,CHEMISTRY,PHYSICS,BIOLOGY NA BASIC MATHEMATICS.
MASOMO YA UFUNDI YANAYOFUNDISHWA BOZA SEKONDARI NI: USEREMALA,BOMBA NA UASHI.MWANAFUNZI ANAYESOMA MASOMO YA UFUNDI ATAKAPOHITIMU KIDATO CHA NNE ATATUNUKIWA CHETI CHA UFUNDI VETA.
- SHULE YA SEKONDARI BOZA IPO MKOA WA TANGA ,WILAYA YA PANGANI, KIJIJI CHA BOZA
- NI SHULE KONGWE,ILIANZISHWA MWAKA 1977
- SHULE YA SEKONDARI BOZA NI YA KUTWA NA BWENI MCHANGANYIKO WAVULANA NA WASICHANA
- SHULE YASEKONDARI BOZA INA WALIMU WAZOEFU NA WACHAPAKAZI
- MAZINGIRA YA BOZA SEKONDARI NI TULIVU KWA KUJISOMEA
- ADA NI NAFUU SANA IKILINGANISHWA NA HUDUMA ZITOLEWAZO.
FOMU ZA KUJIUNGA NA BOZA SEKONDARI ZINAPATIKANA ;
1.SHULENI BOZA SEKONDARI
2.OFISI ZA JUMUIYA YA WAZAZI PANGANI,NA MKOANI TANGA
3.MWENYEKITI WA BODI YA SHULE – MOB: 0713 935 335, 0784 539 141.
KWA MAWASILIANO Mpigie mwenyekiti wa Bodi WOTE MNAKARIBISHWA BOZA SEKONDARI
Ibitekerezo (11)
Tanga.