Fungua
Foundation for Indigenous Eduation (FIE) Morogoro

Foundation for Indigenous Eduation (FIE) Morogoro

Morogoro, Tanzania

Shirika hili lina mradi mmoja (1), mradi wa Ukusanyaji wa Fasihi simulizi.  Kwa kuanzia tumeanza na makabila ya Waluguru katika Wilaya ya Matombo na Wakaguru katika Wilaya ya Mamboya. Pia tunakusudia kufanya ufatiti huu katika Wilaya ya Kilombero.