Ni kwa mara nyingine tena shirika la Elimu Asilia limeendelea na tafiti zake katika Wilaya ya Kilombero Mkoani Morogoro kwa makabila ya Wandamba na Wambunga.
kikubwa kinachoangaliwa ni maadili katika makabila yote hayo tunayofanyia utafiti,
ili kuona je, hapo zamani mababu na bibi zetu waliishi vipi.
Hususan katika Ulinzi, Tambiko, Tiba, Vyakula, Ndoa, Jando na Unyago n.k.
1 Novemba, 2010