Haya ni baadhi ya maeneo ya Hifadhi yanayoshughulikiwa na Shirika la The Alliance For Environmental Conservation. Eneo hili linapatikana Mkoani Kigoma katika Hifadhi ya Msitu wa Ugala na linahifadhiwa kwa ushirikiano kati ya Wakazi wa Chakulu na Shirika la ALECO.
Ibitekerezo (1)