Envaya
Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations

ELIMU VIJIJINI

ALLIANCE FOR SOCIAL CHANGE (MPWAPWA VIJIJINI)
4 Gicurasi, 2017 at 11:36 EAT (edited 4 Gicurasi, 2017 at 11:45 EAT)

Umasikini na ujinga ni giza nene linalo ificha jamii ya kitanzania kule kijijini kuonekana kama haipo hata kama ina mawazo chanya ya kujikomboa katika hali duni iliyopo, lakini ujinga na umasikini ni kikwazo cha kusonga mbele.Tukishikamana majibu yanapatikana si kwa maneno tu bali kwa vitendo karibuni wadau.”welcome   Tz country of milk and honey”.


Andika ubutumwa

Tumira abandi mu kiganiro