Injira
ANT Female genital multilation

ANT Female genital multilation

IRINGA MANISPAA, Tanzania

Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations

Shirika la AFNET lili sajliwa mwaka 2002 nakupata namba ya usajili SO.11296 . Kwasasa linafanya kazi katika mkoa mzima wa Iringa Hususani Shuguli za kina mama  Dhidi ya unyanyasaji wa kijinsia . Tuna wakaribisha wale wote wanao Fanya shughuli zinazo husu Wanawake