Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations
FCS Narrative Report
Introduction
AntiPoverty and AIDS Organization
AAO
KUJENGA UWEZO WA UTENDAJI WA ASASI
FCS/RSG/1/10/228
Dates: AGOSTI HADI OCTOBA | Quarter(s): KWANZA |
Stella Otto
Project Description
Civil Society Capacity Strengthening
Kwa kuwafundisha viongozi na wanachama juu ya Utawala Bora tutakuwa tumejenga uwezo wa viongozi na wanachama wa asasi. Hii inajumuisha kujua jinsi ya kuanzisha na kuendesha Asasi, kuchanganua na kuandika miradi kwa ajili ya maendeleo ya Asasi pamoja na kuelewa kwa undani juu ya utunzaji na usimamizi mzuri wa fedha na mali za asasi.
Region | District | Ward | Villages | Total Beneficiaries |
---|---|---|---|---|
Morogoro | Kat zote 29 za manispaa ya Morogoro | Morogoro | wanachama 22 |
Direct Beneficiaries | Indirect Beneficiaries | |
---|---|---|
Female | 11 | wanachama |
Male | 11 | wanachama |
Total | 22 | wanachama |
Project Outputs and Activities
Wanachama na viongozi wanajua na kuelewa jinsi ya kuendesha asasi kwa njia inayotakiwa
1.Kufundisha na kuelewa juu ya Utawala bora
2. Uibuaji na uandikaji wa miradi
3.Usimamizi na utunzaji wa Fedha na Mali za Asasi
2. Uibuaji na uandikaji wa miradi
3.Usimamizi na utunzaji wa Fedha na Mali za Asasi
Wanachama na Viongozi wapatao 22 walifundishwa juu ya UTAWALA BORA katika kipindi chote cha robo mwaka kilichoanzia Agosti hadi Octoba.
Hakukuwa na tofauti yeyote katika utekelezaji.
Jumla ya Shs.7,351,000 zilitumika kwa kazi zote ikiwa ni pamoja na Utawala.
Project Outcomes and Impact
Baada ya Mafunzo wote waliohusika walielewa jinsi ya kuendesha Asasi na kutafuta raslimali ikiwa ni pamoja na utunzaji wake.
Kumekuwa na mabadiliko chanya kwa maana sasa viongozi na wanachama wameelewa nini wanatakiwa kufanya ili kuiendeleza Asasi.
N/A
N/A
Lessons Learned
Explanation |
---|
Kama watu wakifundishwa na kueleweshwa jinsi ya kuendesha shughuli yeyote wanaweza ;mradi tu wapewe muda. |
Challenges
Challenge | How it was overcome |
---|---|
Mabadiliko na mfumuko wa bei za vitu | Ilibidi tutumie michango ya wanachama ili kufidia pengo lililoonekana |
Linkages
Stakeholder | How you worked with them |
---|---|
Serikali | Walitupa kibali cha kuendesha mafunzo haya |
CMMUT | Walishiriki na kutoa ushauri na uzoefu katika kuendesha ASASi |
Future Plans
Activities Planned | 1st Month | 2nd Month | 3rd Month |
---|---|---|---|
Kuandika Taarifa ya kumalizika kwa mradi na kujiweka sawa kwa ajili ya kutafuta raslimali ili kuendesha ASASI ikiwa ni pamoja na kuomba ruzuku kwa kipindi kijacho |
Beneficiaries Reached
Direct Beneficiaries | Indirect Beneficiaries | ||
---|---|---|---|
Widows | Female | (No Response) | (No Response) |
Male | (No Response) | (No Response) | |
Total | (No Response) | (No Response) | |
People living with HIV/AIDS | Female | (No Response) | (No Response) |
Male | (No Response) | (No Response) | |
Total | (No Response) | (No Response) | |
Elderly | Female | (No Response) | (No Response) |
Male | (No Response) | (No Response) | |
Total | (No Response) | (No Response) | |
Orphans | Female | (No Response) | (No Response) |
Male | (No Response) | (No Response) | |
Total | (No Response) | (No Response) | |
Children | Female | (No Response) | (No Response) |
Male | (No Response) | (No Response) | |
Total | (No Response) | (No Response) | |
Disabled | Female | (No Response) | (No Response) |
Male | (No Response) | (No Response) | |
Total | (No Response) | (No Response) | |
Youth | Female | (No Response) | (No Response) |
Male | (No Response) | (No Response) | |
Total | (No Response) | (No Response) | |
Other | Female | (No Response) | (No Response) |
Male | (No Response) | (No Response) | |
Total | (No Response) | (No Response) |
Kwa wakati huu siyo rahisi kupata takwimu hizi.Ila wakati mwingine kwa kuwa sensa itakuwa imefanyika tutaweza kupata takwimu hizi.
Events Attended
Type of Event | When | Lessons | Actions Taken |
---|---|---|---|
Jinsi ya Kuendesha mipango na miradi pamoja na utunzaji wa vitabu vya mahesabu. | Nov, 2010 | Uendeshaji miradi na utunzaji wa vitabu vya mahesabu | Vitabu vyote vinavyohusu miradi na mahesabu vimefunguliwa na vinatumika |