Log in
yusra foundation

yusra foundation

arusha, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

kuhamasisha jamii kuhusu haki ya elimu kwa watoto wenye mahitaji maalum. Yusra imeanzisha madarasa ya awali kwa watoto wa kutoka kwenye familia zisizo na uwezo. madarasa yanayotoa elimu kwa watoto wa kike, yatima na wenye ulemavu, katika kata ya sokon - 1, eneo la kwa morombo - mbauda manispaa ya arusha.  

Latest Updates
yusra foundation created a History page.
asasi ilianza mwaka 2009 na lilipata usajili rasmi mwaka 2012 kwa namba 95109. – ilikua ni wazo kutoka kwa habiba swedi, mtangazaji na mwandishi wa habari aliyeona kuna haja ya kuwa na asasi hii ya kiraia ili kuweza kuisaidia jamii hasa ya wanawake na watoto kukabiliana na changamoto ya upatikanaji wa elimu kwa watoto wao. ... Read more
August 9, 2014
yusra foundation created a Team page.
bodi ya shirika:- – amina kessi - mwenyekiti rehema ramadhani - mjumbe zainabu selemani - mjumbe mwanazumbe zuberi - mjumbe mwanaidi hassan - mjumbe ... Read more
August 9, 2014
yusra foundation joined Envaya.
August 9, 2014
Sectors
Location
arusha, Arusha, Tanzania
See nearby organizations