Log in
YOUTH ACTION DEVELOPMENT ( YAD )

YOUTH ACTION DEVELOPMENT ( YAD )

DAR ES SALAAM, Tanzania


To coordinate and build the capacity of Tanzanian youth in acquiring knowledge and skills for disease prevention, self-reliance, entrepreneurship and good governance.

 

Latest Updates
YOUTH ACTION DEVELOPMENT ( YAD ) updated its Projects page.
CURRENT PROJECTS. ... Read more
July 26, 2017
YOUTH ACTION DEVELOPMENT ( YAD ) added a News update.
NAPENDA KUWAFAHAMISHA WADAU WETU KUWA TUMEFUNGUA TAWI LA YOUTH ACTION DEVELOPMENT (YAD) KATIKA JIJI LA MWANZA MTAA WA KENYATA
March 18, 2017
YOUTH ACTION DEVELOPMENT ( YAD ) updated its History page.
Youth Action Development (YAD) ni shirika lisilo la kiserikali linaloshughulikia maendeleo ya jamii ya Tanzania na hasa limejikita katika maendeleo ya vijana. Shirika hili linafanya kazi kwa manufaa ya watanzania wote na si kwa ajili ya kunufaisha kundi la watu au... Read more
August 14, 2016
YOUTH ACTION DEVELOPMENT ( YAD ) added 3 News updates.
YAD tunatambua mchango wa Mhe.Dr. Jakaya mrisho Kikwete ambaye ni Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania katika kuliletea taifa hili maendeleo.
July 10, 2015
YOUTH ACTION DEVELOPMENT ( YAD ) added 5 News updates.
Mkurugenzi mtendaji wa YAD akifafanua umuhimu wa vijana kushiriki katika harakati zote za kimaendeleo kwa kushirikiana na Serikali, akifungua makongamano ya kuhamasisha vijana kujitokeza kwa wingi katika kujiandikisha na upigaji kura kwa katiba pendekezwa na Bunge maalumu la katiba. Na kasisitiza kuwa vijana wawe mbele katika... Read more
March 13, 2015
YOUTH ACTION DEVELOPMENT ( YAD ) updated its Projects page.
CURRENT PROJECTS. ... Read more
December 11, 2013
Sectors
Location
DAR ES SALAAM, Dar es Salaam, Tanzania
See nearby organizations