Log in
Wapoli Living Positive

Wapoli Living Positive

Tengeru, Arusha, Tanzania

Kuelimisha jamii kuhusu ugonjwa wa UKIMWI kwa kutumia sanaa. Pili, ni kusaidia watoto ya tima walioachwa na wazazi wao kutokana na ugonjwa wa UKIMWI. Tatu, ni kusaidia watoto ya tima sare za shule. Pia, kuwapa mahitaji madogo watu wanoishi na virusi vya UKIMWI.
Latest Updates
Wapoli Living Positive added a News update.
Mimi naitwa Zephania Kyungai mwenyekiti wa kikundi cha sanaa WALIPO kilichoko Tengeru. Naishi na maambukizi ya virusi vya UKIMWA kwa muda wa miaka kumi. Baada ya kufuata ushauri wa daktari niliweza kuondoa usongo wa mawazo na sasa hivi naishi bila matatizo yoyote. Nafanya kazi zangu zote nahudumia familia yangu bila matatizo. Read more
June 10, 2010
Wapoli Living Positive joined Envaya.
June 10, 2010
Sectors
Location
Tengeru, Arusha, Arusha, Tanzania
See nearby organizations