Injira
Tumaini Women Group

Tumaini Women Group

Mwanza, Tanzania

Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations

Tumaini tunatoa misaada ya elimu kwa watoto yatima na walio katika mazingira magumu zaidi.walengwa wakiwa ;Primary na Secondary.

Tumaini tuna fundisha stadi za kazi;Ushonaji,Ufumaji,Ushonaji sweta kwa vijana walioshindwa kuendelea na elimu ya Secondary kwa matatizo mbalimbali yakiwemo ya kijamii na kiuchumi.

Kutetea yatima na wajane kupata haki zao.

Kutoa elimu ya; ujasilia mali,kujikinga na maambukizi na ukimwi.