Log in

Translations: Kiswahili (sw): Translators: VIWENGWE UKONGA PROJECT (mgaya)

Name VIWENGWE UKONGA PROJECT (mgaya)
Last update October 9, 2012
Translations 8
Votes 12

Latest translations

Internal IDBaseKiswahiliTranslatorTime Created
design:change_themeChange themeHariri muonekanomgayaOctober 9, 2012
WI0004717222573000028270:contentThe simplest way to include content from documents such as Microsoft Word files on your Envaya website is to use copy-and-paste. However, copy-and-paste only works for certain documents, because images and some formatting may be lost when pasting the document in Envaya. – An alternate way of publishing your documents on Envaya is by using the (image) button. This allows you to publish documents from Microsoft Word, as well as PowerPoint, Excel, and PDF...Njia rahisi ya kuongeza hati kama za Microsoft Word kwenye tovuti yako ya Envaya ni kwa njia ya kunakili na kuhamisha. Hata hivyo, njia hii haifanyi kazi wakati wote, kwa sababu picha na mpangilio wa hati yako inaweza kupotea wakati wa kuhamishia kwenye tovuti yako ya Envaya. – Njia mbadala ya kuchapisha nyaraka zako juu ya Envaya ni kwa kutumia batani hii (image) . Hii inakuwezesha kuchapisha nyaraka kutoka Microsoft Word, pamoja na PowerPoint, Excel, na...mgayaMarch 28, 2012
WI000198A510A23000028288:contentOn your website on Envaya, you can create a Discussions page, which allows anyone – from your organization or other organizations, from your community or anywhere in the world – to collaborate and discuss topics related to your organization and its work. – To create a Discussions page, log in to Envaya and go to the Edit Site page ( (image) ). Scroll down to the Edit Pages section, and click Discussions. – To start your first...Katika tovuti yako ya Envaya, unaweza kuunda ukurasa wa majadiliano, ambayo inaruhusu mtu yeyote - kutoka shirika lako au mashirika mengine, au kutoka katika jamii yako au mahali popote duniani - kushiriki na kujadili mada inayohusiana na asasi yako na kazi zake. – Kuunda ukurasa wa majadiliano, ingia kwenye akaunti yako ya Envaya na nenda kwenye ukurasa Hariri Tovuti ( (image) ). Nenda chini kwenye sehemu ya Hariri Ukurasa, na bonyeza...mgayaMarch 26, 2012
WI00095AE5E411A000028269:contentWhen you are logged in to Envaya, you can customize the appearance of the pages on your organization's site, such by uploading a logo or header image to display at the top of each page, and choosing a theme (background images and colors) for your website. – (image) – From the Edit Site page (image) , go to the Links section and...Wakati umeingia kwenye akaunti yako ya Envaya, unaweza kubadilisha muonekano wa kurasa wa tovuti ya shirika lako, kama vile nembo au kichwa itakayoonekana juu ya kila ukurasa, na kuchagua mandhari (picha au rangi) kwa ajili yako tovuti. – (image) – Kutoka ukurasa wa kuhariri tovuti (image) , Nenda – kwenye sehemu...mgayaMarch 20, 2012
WI00086DC89D659000028519:contentOn your website on Envaya, you can create a Network page, where you can list organizations that partner with your organization and describe how you work with them. – These organizations may include partners that fund, support, or work with you, as well as networks of organizations where you are a member. You can add organizations to your Network page even if they are not registered for Envaya. – To create a Discussions page, log...Katika tovuti yako ya Envaya, unaweza kuunda ukurasa wa mtandao, ambapo unaweza kuorodhesha mashirika ambayo utaweza kushirikiana nayo pia kueleza kazi zako – Mashirika haya ni pamoja na mashirika wafadhiri,watoa msaada, au mashirika ya kujitolea, pamoja na mitandao ya mashirika ambapo ni wanachama. Unaweza kuongeza mashirika ya Mtandao katika ukurasa wako hata kama hawajasajiliwa kwenye Envaya. – Kuunda ukurasa majadiliano,ingia kwenye...mgayaMarch 20, 2012
(hidden)
WI00086DC89D659000028519:contentOn your website on Envaya, you can create a Network page, where you can list organizations that partner with your organization and describe how you work with them. – These organizations may include partners that fund, support, or work with you, as well as networks of organizations where you are a member. You can add organizations to your Network page even if they are not registered for Envaya. – To create a Discussions page, log...Katika tovuti yako ya Envaya, unaweza kuunda ukurasa wa mawasiliano, ambapo unaweza kuorodesha mashirika ambayo unashirikiana nayo na kueleza jinsi unavyofanya nayo kazi. – Mashirika haya ni pamoja na mashirika yanayokudhamini, au yanayofanya kazi na wewe, pamoja na mitandao ambapo asasi yako ni wanachama. Unaweza kuongeza mashirika ya Mtandao katika ukurasa wako hata kama hayajasajiliwa kwenye Envaya. – Kuunda ukurasa wa majadilianao, ingia...mgayaMarch 20, 2012
WI0006FC1E87B98000000457:titleKey Personnelwahusika wakuumgayaNovember 21, 2011