Fungua

Tafsiri: Kiswahili (sw): Wafasiri: Radhina Kipozi (radhina)

Jina Radhina Kipozi (radhina)
Badiliko la mwisho 15 Machi, 2012
Tafsiri 119
Kura 119

Tafsiri mpya

Internal IDAsiliKiswahiliMfasiriMuda ya Uumbaji
sms:help_cC=post commentC=chapisha mawazo yakoradhina26 Septemba, 2011
sms:help_nextNEXT=next pageIFUATAYO=ukurasa ufuataoradhina26 Septemba, 2011
sms:help_moreMORE=more textZAIDI=radhina26 Septemba, 2011
report:invitation_email_linkTo complete the report, go to {url} , then follow the instructions.Ili kukamilisha ripoti, nenda {url} , halafu fuata maelekezo.radhina29 Agosti, 2011
report:invitation_emailThis is a reminder for {name} to complete {report} for {org}.Hii ni ukumbusho kwa {name} kuhusu kukamilisha {report} kwa {org}.radhina29 Agosti, 2011
report:invitation_smsReminder from {org} to complete {report}:Ukumbusho kutoka {org} kuhusu kukamilisha {report}:radhina29 Agosti, 2011
report:offline_click_openClick 'Open' in the installation window as shown below:Bonyeza 'Open' ndani ya dirisha la kupakua kama inavyoonyesha hapo chini:radhina29 Agosti, 2011
report:offline_need_upgradeYour version of Envaya Reports is out of date. Click below to install the new version.Toleo lako la Envaya Reports ni la zamani. Bonyeza hapo chini ili kupakua toleo jipya.radhina29 Agosti, 2011
WI000983F94DAE8000028438:contentEnvaya is translated into multiple languages, and you can use whichever language you feel most comfortable using. – To change Envaya's language, click on the language menu at the top of any page on Envaya, and select a language from the list. – (image) – You can also change Envaya's language by scrolling to the bottom of the page and clicking the name of a language at the bottom-left. – Translating Content From Other...Envaya imetafsiriwa kwa lugha mbalimbali, na unaweza kutumia lugha yoyote unayotaka kuitumia. – Ili kubadili lugha ya Envaya, bonyeza menyu ya Lugha au Language juu ya ukurasa wowote wa Envaya, halafu chagua lugha kutoka kwenye orodha. – (image) – Vile vile, unaweza kubadili lugha ya Envaya kwa ku-scroll mpaka chini ya ukurasa, na kubonyeza jina ya lugha pale chini kushoto. – Kutafsiri maandiko Kutoka Lugha...radhina25 Julai, 2011
network:instructions_2These organizations may include partners that fund, support, or work with you,
as well as networks of organizations where you are a member.
Mashirika haya yanaweza kuwa yale yanayokufadhili, yanayokusaidia, au yanayofanya kazi na wewe, vile vile mitandao ya mashirika yaliyo na shirika lako kama mwanachamaradhina9 Juni, 2011
network:instructionsOn this page, you can list organizations that partner with %s and describe how you work with them.Kwenye ukurasa huu unaweza kuorodhesha mashirka yaliyo na ubia na %s, na kueleza jinsi unavyo fanya kazi naoradhina9 Juni, 2011
network:invite_orgInvite {email} to join Envaya?Karibisha {email} kujiunga na Envaya?radhina9 Juni, 2011
network:org_not_shownIs the organization you want to add not shown above?Je, shirika ambalo unataka kuliongeza halijaonekana hapo juu?radhina9 Juni, 2011
network:confirm_partnerConfirm the organization to add as a partner:Thibitisha shirika la kuongeza kama ubiaradhina9 Juni, 2011
network:confirm_deleteAre you sure you want to remove {name} from your list of {type}?Una uhakika kuwa unataka kuondoa {name} kutoka kwenye orodha yako ya {type} ?radhina9 Juni, 2011