Baraza la Watoto wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tunafanya kazi zifuatazo: – Kutayarisha mikakati ya kukuza ushirikishwaji wa watoto kwenye mambo yanayowahusu watoto katika ngazi zote kuanzia kwenye familia, jamii, serikali za mtaa, kitaifa na kimataifa. (image) ... | (Not translated) | Hindura |