Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/ucgot/home
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Umoja wa Maendeleo Usambara utajengwa katika misingi ya Upendo, uwajibikaji, uwazi, kujitolea na kufanya kazi kwa bidii . – Masuala muhimu katika kuhakikisha lengo linafikiwa ni – (i) Kuhimiza mshikamano miongoni mwa wenyeji wa Usambara. – (ii) Kuimarisha ushirikiano miongoni mwa vikundi vya kusaidiana vya watu wa Usambara katika nyanja za kiuchumi, kijamii, kiutamaduni, kisayansi na nyinginezo, na...
(Bila tafsiri)
Hariri