Fungua

/fmzeituni/news: Kiswahili

AsiliKiswahili
(image) – Viongozi wa shirika lisilo kuwa la kiserikali la Mzeituni Foundation Mkurugenzi Bw.Meshack Masanja na mwenyekiti wa bodi Bw.Kaneja Faraja akiwakabidhi masanduku wananchi wa kata ya Mriti waliounda vikundi vya ujasilia mali vya kuweka na kukopa kupitia mradi uliofadhiliwa na shirika la kiswidenila Forum SYD mwezi jan-2011(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Mwalimu wa mafunzo ya PETS Bw. Paul Benjamin akitoa maelezo ya mafanikio ya semina hii kwa wafadhili wa mradi wa uwajibikaji wa umma yaliyotolewa na shirika la Mzeituni Foundation katika kata ya Mriti tarehe 24-26/01/2011 kwa ufadhili wa shirika la Forum Syd kutoka nchini Sweden.(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Mkurugenzi wa shirika lisilokuwa la kiserikal la Mzeituni Foundation Bw.Meshack Masanja akifungua mafunzo ya kuweka na kukopa kwa vikundi vya wajasilia maliwa kata ya Mriti mwezi jan 2011 kwa ufadhili wa shirika la FORUM SYD kutoka nchini Swiden.(Bila tafsiri)Hariri
(image) Baadhi ya washiriki wakiwa wanapata mafunzo ya PETS yaliyotolewa na la Mzeituni Foundation kwa ufadhili wa shirika la Forum Syd kutoka nchini Sweden katika kata ya Mriti tarehe 24-26/1/2011 (image) Baadhi ya picha ya wafadhili wa mradi wa ufuatiliaji na uwajibikaji kwa umma wakiwa wanaongea na mmoja wa wanawarsha wa mafunzo ya PETS huko Mriti 24-26/01/2011 yaliyoendeshwa na shirika la mzeituni foundation wakiwa wanafanya ufuatiliaji wa...(Bila tafsiri)Hariri
(image) Baadhi ya watu wanaoishi na VVUna UKIMWI katika kata ya Bukanda (W)Ukerewe wakimsubiri mgeni rasimi kwa ajili ya kufungua rasimi ugawaji wa unga wa rishe na madawa yanayozuia magojwa nyemelezikwa watu waishio na VVU na UKIMWI tarehe 02/01/2011 ambao ulitolewa na shirika la Mzeituni Foundationi chini ya ufadhiri uliotolewa na Halmashauri ya (W) Ukerewe. (image) Mfanyakazi wa shirika la MzeituniFoundation Bw.Juma Ally Msumi...(Bila tafsiri)Hariri
(image) – Watoto wanaoishi na virusi vya ukimwi wanaosoma katika shule ya msingi kagera (W)Ukerewe wakiwa wanasubiri kupewa msaada wa unga wa rishe na mfafakazi wa shirika la Mzeituni Foundation kupitia mradi uofadhiriwa na Halmashauri ya wilaya ya Ukerewe ambao ulifafika mwezi wa jan- Feb 2011 – Watu wenye mapenzi mema na watoto hawa wanakaribishwa kuwasaidi zaidi maama wanaishi na bibi zao wasio kuwa na uwezo wa kuwahudumia...(Bila tafsiri)Hariri