Envaya

/wapa/news: English

BaseEnglish
wapa tunaungana na mitandao yoteya watu wanaoishi na virusi vya UKIMWI pamoja na baraza la watu wanaoishi na virusi vya ukimwi Tanzania kwa kuadhimisha siku ya kuwasha mishumaa kuwakumbuka wanaharakati walioishi na virusi vya ukimwi na kufariki kwa ukimwi, tarehe 30/05/2010 katika uwanja wa mashujaa mnazi mmoja dar es salaam. wao walijitoa muhanga katika kuielimisha jamii ya watanzania ili kupunguza kasi ya maambukizi ya virusi vya ukimwi kazi walioiacha nasi tunaiendeleza Mungu aziweke roho za...given we are in the networks yoteya people living with HIV / AIDS with the council of people living with HIV in Tanzania to celebrate the day of light candles remember them activists who were living with HIV and died of AIDS, on 5/30/2010 in the field of heroes dar es salaam Mnazi one. they were committed in kuielimisha muhanga Tanzanian society to reduce the prevalence of HIV infection, who left the work we develop the spirit of God aziweke marehmahala eternal peace.Edit
(image)(Not translated)Edit
Tathimini ya utawala bora imefanyika jana katika ofisi zetu za wapa hapa mbezi walioshiriki ni pamoja na afisa maendeleo ya jamii kata ya mbezi mjumbe kutoka serikali za mitaa mtaa wa mshikamano pamoja na wajumbe wa wapa.Evaluation of governance done yesterday in our office who participated Mbezi given here include community development officer for the ward of Mbezi member from local government's local connection with the given members.Edit
habari wana envaya ,wapa imeona kwamba katika mapambano dhidi ya ukimwi ,elimu imetolewa ila bado kuna idadi ndogo ya wanaume wanaojitokeza kupata huduma hiii,na hata wale wachache wanaojitokeza na kuonekana wana vvu,imekuwa vigumu kufuata matibabu kikamilifu ikiwemo matumizi sahihi ya arvs,hivyo wapa imeona kuna haja ya kufanya uhamasishaji kwa wanaume kujitokeza kupima vvu kwa hiari na kutoa mafunzo ya matumizi sahihi ya dawa za arvs, pia kuwahamasisha wale ambao wameshapima na kukutwa...information have envaya, give I thought that the fight against HIV / AIDS, education is given, but there is still a small number of men who appeared to care hiii, and even those few who appear to be seen of HIV, it has been difficult to follow the treatment completely, including correct use of ARVs, it gave I thought there is a need to do promotion for men emerge HIV testing voluntary and provide training to use appropriate drugs ARVs, as well as motivating those who have shapima and kukutwa...Edit
Wapa baada ya kufanya mafunzo ya utawala bora kwa viongozi wa kata ya mbezi na wananchi wa kata hii ya mbezi , keshotarehe 25/05/2010, tutafanya tathimin ya mafunzo ya utawala bora katika ofisi za wapa zilizoko kata ya mbezi wanaohusika na tathimin hii wameshapewa taarifa, karibuni sana..Given after doing training governance leaders to cut the Mbezi and people of the ward is the Mbezi, keshotarehe 25/05/2010, we do tathimin training governance in office gave contained ward Mbezi involved and tathimin this have shapewa information , very soon ..Edit
wapa kesho tutakua kwenye mkutano unaohusu wanawake wajane wanoishi na VVU kujadili changamoto zinazowakabili kama wajane wenye VVUthat we gave at the meeting tomorrow concerning widows living with HIV as discuss the challenges facing HIV-positive widowsEdit
wapa tunapokea vijana wengi wanaohitaji huduma ya upimaji wa vvu kwa hiari lakini tunashindwa kutoa huduma hii kwani kituo chetu hakina wataalam waliosomea upimaji tunaomba tusaidiwe ili huduma hii ipatikane,na katika mtaa huu wa mshikamano hakuna kituo kinachotoa huduma hii ya upimaji, maoni waliotoa vijana waliofika katika ofisi za wapa,walisema wanahitaji wapate huduma hii kwa karibu zaidigive, we receive many young people who need care HIV testing voluntarily, but we are unable to provide this service as the center of our no experts who studied periodic praying tusaidiwe to this service available, and in this location of solidarity there is no facility kinachotoa this service for testing, feedback that provides young people who come in offices give, they said they might need this service more closelyEdit
wapa inatoa wazo wana envaya wa Tanzania tufahamiane kupitia mtandao huuoffers have given the idea of Tanzania envaya tufahamiane through this networkEdit
wapa tunatarajia kufungua tawi mkoa wa pwani wilaya ya mkuranga mwezi juni 2010given that we expect to open a regional branch of the coastal district of Mkuranga month of June in 2010Edit
Leo wapa tupo katika ofisi zetu na tunajiandaa kwa ajiri ya maonyesho ya sabasaba , bidhaa zetu ni mlonge na batiki tutawapa taarifa tutakua banda gani karibuni sanaToday gave us in our office and we are preparing for the exhibition employs sabasaba, our products are Milonge and we bless Banda rehearsed what we grew very quicklyEdit