Envaya
/BWJMT/news
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Baraza la Watoto wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr.Jakaya Mlisho Kikwete mwaka 2010, ikulu Jijini Dar es Salaam kwa lengo la kuzungumza nae kuhusu Ajenda ya watoto (image)
(Bila tafsiri)
Hariri
Katiba ya Baraza la Watoto wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (document)
(Bila tafsiri)
Hariri
Watoto wakiwa katika michezo siku ya mtoto wa Afrika mwaka 2013 (image)
(Bila tafsiri)
Hariri
wajumbe wa Mabaraza ya watoto wakitoa taarifa za utendaji kazi wao katika mkutano mkuu wa Baraza la watoto wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (image) mjumbe wa Baraza la watoto temeke akiwasilisha taarifa ya utendaji kazi wao kwa mwaka 2013 (image) Mjumbe kutoka Mbeya akiwasilisha taarifa yake ya utendaji kazi. (image) wajumbe wa baraza la watoto wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiwa wamekaa kwa usikivu wa hali ya...
(Bila tafsiri)
Hariri
Naibu waziri wa Maendeleo ya Jamii, jinsia na Watoto(kushoto) mh.Pindi Chana akiwa katika mkutano Mkuu wa Baraza la Watoto wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mjini Morogoro anayefuata ni Ummy Jamaly Mwenyekiti wa Baraza la watoto Taifa. (image)
(Bila tafsiri)
Hariri
Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto wakiwa katika ziara Mkoani Mwanza na kamati ya Bunge ya Ajenda ya Mtoto februari 2014 (image) – (image) – (image)
(Bila tafsiri)
Hariri
Mwenyekiti wa Baraza la Watoto wa Taifa akifanya mahojiano na Mh. Naibu Waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Ndg. Pindi Chana mara baada ya hotuba yake ya ufunguzi wa Mkutano mkuu wa Baraza la Watoto wa Taifa (image)
(Bila tafsiri)
Hariri