Mwenyekiti wa Baraza la Watoto wa Taifa akifanya mahojiano na Mh. Naibu Waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Ndg. Pindi Chana mara baada ya hotuba yake ya ufunguzi wa Mkutano mkuu wa Baraza la Watoto wa Taifa
wajumbe wa Mabaraza ya watoto wakitoa taarifa za utendaji kazi wao katika mkutano mkuu wa Baraza la watoto wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzaniamjumbe wa Baraza la watoto temeke akiwasilisha taarifa ya utendaji kazi wao kwa mwaka 2013
Mjumbe kutoka Mbeya akiwasilisha taarifa yake ya utendaji kazi.
wajumbe wa baraza la watoto wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiwa wamekaa kwa usikivu wa hali ya juu kusikiliza taarifa za watoto wenzao wakiziwasilisha katika mkutano mkuu wa Baraza la Watoto wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Naibu waziri wa Maendeleo ya Jamii, jinsia na Watoto(kushoto) mh.Pindi Chana akiwa katika mkutano Mkuu wa Baraza la Watoto wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mjini Morogoro anayefuata ni Ummy Jamaly Mwenyekiti wa Baraza la watoto Taifa.
Baraza la Watoto wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr.Jakaya Mlisho Kikwete mwaka 2010, ikulu Jijini Dar es Salaam kwa lengo la kuzungumza nae kuhusu Ajenda ya watoto
Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto wakiwa katika ziara Mkoani Mwanza na kamati ya Bunge ya Ajenda ya Mtoto februari 2014
Katiba ya Baraza la Watoto wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaICC_MBEYA_Rasimu_ya_Katiba_ya_BWJMK_ELAND_MOTEL_ARUSHA_101007_1_.doc