Envaya

/tuamke/news: Kinyarwanda

BaseKinyarwanda
(image) – Tupendelee sana kukaa na vijana kwani vijana wanapambana na mengi kukaa na vijana itatu saidia kutambua matatizo yao pia kuzoea luguha zao za mtaani mfano.Kijana anakwambia korogeti inatoka maana yake kijana huyo nasumbuliwa na Gono na ile korogeti ni usaha.(Not translated)Hindura
(image) – Lazima tuakikishe kuwa tunawasaidia vijana katika kupata Elimu ya Afya ya Uzazi kwa Vijana(Not translated)Hindura
(image) – Mipango mkakatika ya Chanika Tuamke Youth Organization katika kuwaelimisaha vijana juu ya Afya ya uzazi kwa vijana(Not translated)Hindura
(image) – NI JUKUMU WOTE Sote tuna jukumu la kuhakikisha haki ya Afya ya uzazi kwa vijana zinalindwa na sio kazi ya watoa huduma tu.(Not translated)Hindura
(image) – Jitihada bado zinahitajika katika kuhakikisha kuwa vijana wanapata elimu ya Afya ya Uzazi ili kuepukana na Changamoto mbalimbali zinazo wakabili Vijana.(Not translated)Hindura
(image) – Jitihada bado zinahitajika katika kuhakikisha kuwa vijana wanapata elimu ya Afya ya Uzazi ili kuepukana na Changamoto mbalimbali zinazo wakabili Vijana.(Not translated)Hindura
(image) – NI JUKUMU WOTE Sote tuna jukumu la kuhakikisha haki ya Afya ya uzazi kwa vijana zinalindwa na sio kazi ya watoa huduma Afya tu.(Not translated)Hindura
(image) – Tuna hitajika kufanya juudi kubwa katika kuwaelimisaha vijana kuhusiana na Afya ya uzazi(Not translated)Hindura
(image)(Not translated)Hindura
(image) – Vijana wanahitajika kupata elimu Afya ya uzazi ushauri wa mara kwa mara juu ya Afya ya uzazi kwa vijana(Not translated)Hindura
Wafadhili(Not translated)Hindura