Baraza la Watoto wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lina historia inayoanzia katika Mkutano wa watoto kutoka sehemu mbalimbali nchini Tanzania bara na visiwani waliokutana katika mkutano wa maandalizi ya Mkutano Maalum wa Baraza la Umoja wa Mataifakuhusu watoto uliofanyika tarehe 8-10 Mei 2002. Mkutano huo wa Umoja wa Mataifa hukutanisha Maraisi kutoka nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa. Katika kikao cha maandalizi kilichoitishwa na Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto... | (Not translated) | Edit |