| Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
|---|---|
|
Nikweli elimu ya awali razima iweze kutambuliwa na serikali na wadau wengine wa elimu maana ni msingi mzuri wa maisha ya mtoto,kwani tafiti nyingi zinaonesha kuwa watoto ambao wamepitia elimu ya awali ni wamepata mafanikio zaidi si kwa mambo ya darasani hata katika masuala ya kijamii kwa ujumla, wameonekana kuwa mstari wa mbele hivyo ni wajibu wetu sisi kama wadau wa elimu, wazazi. na serikali kulipa jambo hili umhimu wapekee kwani ni haki ya msingi kwa maendeleo ya mtoto'' MTOTO NI MWALIMU TUMUANDALIE MAZINGIRA ILI AWEZA KUJIFUNDISHA KILE ANACHOKIPENDA'' by Selestine Innocent |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe