Base (Swahili) | English |
---|---|
Taarifa zilizoufikia mtandao wa Indaba zinasema, waziri wa uchukuzi Omary Nundu atazungumza mchana huu na madereva wa magari yanayosafiri kati ya Tanzania na nchi zingine kupeleka na kuleta mzigo maarufu kama Transit. Mkutano huo ni matokeo ya kugomewa kwa jitiohada zote zilizofanywa na viongozi wa mkoa wa Mbeya ambapo mkuu wa mkoa wa Mbeya John Mwakipesile jana alimtuma mkuu wa wilaya kupeleka ujumbe wa kuwataka wasitishe mgomo huo wakati mambo yao yakishughulikiwa, lakini wakati mkuu huyo wa wilaya akisoma barua hiyo alipofikia mwisho akataja imesainiwa na Mkuu wa mkoa wa Mbeya John MWAKIPESILE ghafla wakalipuka kuzoea, Awali walikuwa wakipiga makofi kwa kila kipengere kilichosomwa, lakini ilipofika hatua ya kusoma aliyeandika waraka huo basi hali ikawa siyo, jambo linaloashiria kuwa walihisi hizo zilikuwa ni porojo za kuwatuliza na si ujumbe kutoka kwenye mamlaka za juu kama walivyotaka.\ Omary Nundu amelazimika kufika leo hii baada ya gari moja lililokuwa likiendeshwa na mtanzania mwenye asili ya somalia kuzuiwa na madereva wenzake likiwa barabarani na kisha wakachomoa funguo na kutokomea nazo, hivyo kuzuia shughuli za barabra kuu ya Tunduma -Mbeya. Imeelezwa kuwa gari hilo linatumia passwords ama mzingo katika kuliwasha ambapo pia ni lazima funguo iwe halisi ambapo vibonyezeo vyote vipo kwenye funguo hali ambayo ililazimu polisi kuwa wapole kwani walishaanza kubutua mabomu. Kilicjhotufikisha hapo ni matokeo ya serikali kuchukulia juu juu mgogoro huo ambapo ilionyesha kuto kuupa uzito unaostahili katika kushughulikia zmalalamiko waliyoyatoa madereva yakihusisha haki zao pamoja na baadhi ya kero ambazo tayari zimeanza kupatiwa ufumbuzi. Madereva hao walianzisha changamoto hiyo tangu July 17 baada ya kuandika barua kwenda kwa waziri mkuu lakini ikakosa majibu kwa kipindi chote hatua ambayo wakaamua kuchukua maamuzi lakini wakionyana wenyewe kutokujihusisha na uharibifu wa mali. Hata hivyo taarifa zilizozagaa jana zilianza kuonyesha hofu kubwa baada ya kudaiwa baadhi ya madereva hao wametegesha petroli kulipua magari ikiwa polisi wangetumia mabomu ama kuanzisha operesheni ya FFU, hatua hiyo iling,amuliwa na idara za Inteligensia ambapo magari ya zima moto yaliandaliwa jana kukabili hali hiyo wakati magari ya washa washa yalipokuwa yakizunguka na kutoa tahadahari jana jioni. Mtaendelea kuelezwa kinachoendelea kupitia blog hii |
Zilizoufikia reports indicate Indaba network, transport minister Omary sickle will speak this afternoon and truck drivers yanayosafiri between Tanzania and other countries to deploy and bring burden known as Transit. The conference is the result of kugomewa to jitiohada done by the leaders of the Mbeya region where the governor of Mbeya John Mwakipesile yesterday sent the head of the district to send messages asking to waive strike it during their things out to accomplish, but in general the district was reading the letter he reached the end he mentioned has been signed by the governor of Mbeya John MWAKIPESILE suddenly they exploded adjust, Initially they were in every respect clap kilichosomwa, but accomplished stage read who wrote the document, then the state was not, is indicating that they felt these were the discourses of calm and not a message from a higher authority if they wanted to. \ Omary hatchet has been forced to arrive today after a car was driven by a Tanzanian of Somali origin being prevented by his fellow drivers road and then unplug them the keys and disappear, thus preventing major activities barabra Tunduma-Mbeya. Each vehicle uses either Passwords They lit the circumference in which keys must also be true where the keys are housed vibonyezeo which obliged them to be harmless because the police had begun to amputate bombs. Kilicjhotufikisha it is the result of the government taking over the top conflict where indicated inactivity to give serious attention in dealing with drivers yakihusisha zmalalamiko they gave their rights with some impediments that have already begun to be addressed. Drivers were initiated challenge since July 17 after writing a letter to the prime minister but ikakosa response measures for the entire period in which they decide to take decisions themselves, but they warn each other kutokujihusisha and destruction of property. However, information zilizozagaa yesterday began to show great fear after allegedly some of these drivers have set the petrol bombing of vehicles if the police would use explosives or setup operation FFU, a move that shined determined by the department of Inteligensia where vehicles of universal fire was organized yesterday to counter the situation when vehicles kindle kindle times were still touring and tahadahari yesterday evening. They will continue to be informed of what is going on through this blog |
Translation History
|