Base (Igiswayire) | English |
---|---|
Mpango huu wa WORTH umelenga kushirikiana na wadau mabalimbali wa maendeleo kwa lengo la kuisaidia jamii inayoishi katika mazingira hatarishi. Tumeshirikiana na shirika la hifadhi ya jamii la NSSF lengo likiwa ni kuisaidia jamii kupitia vikundi vyetu vya WORTH ambapo tunalenga kuwasaidia akina mama wanaohudumia watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi wajiunge na NSSF ili waweze kupata sifa au vigevyo vya kuwa wanachama ambapo sasa wataweze kupata huduma ya matibabu kupitia NSSF wao na familia zao.NSSF wanatoa huduma nyingi sana katika jamii lakini sisi tumelenga huduma chache ambazo ni faida kubwa kwetu kwa lengo la kiusaidia jamii ya watu wanaoishi katika mazingira hatarishi kupitia mpango wa WORTH. Huduma ya matibabu: Hapa lengo kubwa ni kuona akina mama pamoja na familia zao wanapata huduma ya matibabu kwa haraka na bei nafuu zaidi kwa, kuchangia michango mitatu ya miezi ya kwanza. Hudumaa hii wataipata kupitia NSSF ambapo shirika hili limeingia mikataba na hospitali mabalimabali hapa nchini. Tabora ni pamoja na kitete hosipitali, St philipo hosipitali, St anna hosipitali, Urambo hospitali, Sikonge hospitali, Ndala hospitali, Nkinga hospitali hii itawasaidia wanachana wa WORTH kuchagua hospitali yeyote ili wapate maibabu. Pia endapo hospitali hizo zitashindwa kuwatibu basi watapewa rufaa kwenda hospitali kubwa mfano Buganda mwanza, k.c.m.c na mhimbili hospitali. Hii itatusaidia kama shirika katika kufikia watu wengi zaidi kwani huduma ya CHF kadi itabidi wale ambao hakuna mpango wa WORTH kupitia kaya zao watapata hizo kadi wakadi na tutakuwa tumevuka lengo la kuwapatia huduma watoto hao kupitia mpango wetu wa PAMOJA TUWALEE. Msaada wa mshazi: Shirika la hifadhi ya jamii pia linatoa marejesho ya gharama za mazishi kwa wanachama wake, hii ina maana kwamba mwanachama atazikwa kwa heshima ya shirika la hifadhi ya jamii NSSF KWA KURUDISHA gharama za mazishi. Pesa hii italipwa ndani ya miezi miwili yaani siku sitini 60 ambapo ndugu wa marehemu wanatakiwa wakatoe taarifa kwa shirika la NSSF. Gharama za uzazi: Shirika la hifadhi pia linatoa mafao ya uzazi kwa wanachama wake,ambapo mwanachama wake atalipwa pesa ya miezi mitatu. Mwanachama anatakiwa akatoe taarifa kwenye shirika tangu kungundulika kwa uja uzito ili sasa shirika ripange utaratibu wa kumpatia mafao ya matibabu kwa wakati. Hivyo mpango huu utakuwa ni msaada mkubwa kwa mabiti wanaolea watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi pia tutakuwa tumeipatia elimu kubwa jamii kupitia mradi wetu. Mikopo kupitia SACCOSS. Shirika la hifadhi pia linatoa mikopo kwa saccoss ambazo zinatambulika kisheria. Suala hili kama maafisa wa shirika tumeona ni vyema wanavikundi waundi kikundi kimoja ambacho kitatengeneza SACCOSS ili NSSF watupatie mkopo ila suala la vikundi vya WORTH in lazima viendelee kama kawaida na kukuchangishana kupitia vikundi vyao. Mkopo ni msaada wa ziada ili umsaidie mwanachama wetu kuinua kipato chako lakini hatuna mpango wa kuuwa WORTH groups. Wanachama vikundi wa WORTH watanufaika kwa namna moja au nyingine kwani mikopo hiyo itawasaidia katika kujinuria kipato
|
This program has focused WORTH collaboration with various development partners with a view to helping the communities in vulnerable. Tumeshirikiana and organization of social protection of the Fund aim to help the community through groups of our WORTH where we aim to assist women who serve children living in risky join the Fund in order to get praise or vigevyo to become members where they will now be able to access medical care through NSSF zao.NSSF their families spend a lot of care in the community, but we've focused on a few services that are profitable to us in order to help the community of people living in vulnerable through the WORTH. Medical Services: Here the main objective is to see mothers and their families have access to medical care quickly and more affordable, contributing donations the first three months. Hudumaa this will get it through NSSF where this organization mabalimabali entered contracts with hospitals in the country. Tabora include turmoil hospital, St Philip hospital, St Anna hospital, Urambo hospitals, hospitals Sikonge, Sandal hospital, this facility will help prevent the girls WORTH choose any hospital in order to maibabu. Also if these hospital facilities are unable to treat it will be appealing to a large hospital like Buganda beginning, KCMC and mhimbili hospital. This will help us as an organization in reaching more people for the service of those who'll CHF cards no WORTH program through their household will receive a card with these cards we will have crossed the goal of providing children services through our plan TOGETHER TUWALEE. Help the cluster: Organisation of social protection also provides restoration of funeral expenses for its members, this means that the member will be buried with respect to the organization of social protection to the restoration NSSF funeral expenses. This money will be paid within two months ie 60 sixty days where the relatives of the deceased are required to give notice to the corporation and the NSSF. The cost of reproduction: Organization park also provides maternity benefits for its members, where its members will earn money for three months. Member should he give notice to the agency since kungundulika in pregnancy in order to present an ripange order to provide timely medical benefits. This program will be a great help to Biti who brought up children living in vulnerable we shall also gives a vast knowledge society through our project. Loans through SACCOSS. The organization also provides credit protection for saccoss which are recognized by law. This issue as officers of the organization we feel that they are one group that groups pounds kitatengeneza NSSF SACCOSS to give us a loan, but the issue of WORTH groups in must continue as usual and kukuchangishana through their groups. Loan is additional support to help our member elevate your income but have no plan to kill WORTH groups. Members of WORTH groups will benefit in one way or another for loans that will help them in income kujinuria |
Ibyasobanuwe
|