Base (Igiswayire) | English |
---|---|
Chanhamoto. Katika kila suala lolote la maendeleo katika jamii yote ile changamoto ni suala ambalo haliepukiki katika mtizamo wa mpango ambo ni yakinifu kwa usitawi wa maendeleo ya kijamii. - Uelewa mdogo wa elimu kwa baadhi ya wanavikundi. Hapa wanavikundi wetu wengi hawakuwa na elimu ya kutosha juu ya huduma zitilewazo na NSSF. -Idadi ndogo ya wanavikundi wakati wa zoezi hili la kuelimisha na kuhamasisha jamii ijiunge na mfuko wa hifadhi ya jamii ya NSSF. Suluhisho. Suala la elimu ni jambo muhimu sana kwa jamii yetu na kwa maendeleo ya taifa kwa ujumla. Kwani watu wawapo na afya zao njema kabisa hii itawasaidia pia hata wao kufanya kazi zao kwa ufanisi kwani watakuwa na afya njema. Kama shirika la AICT tutaendelea kushirikiana na wadau wengine wa maendeleo katika kuisaidia jamii yetu hii haswa wanaoishi katika mazingira hatarishi. Mafanikio. Hakuna kitu kinachofanyika katikkak jamii yeyote ile kisicho kuwa namafaniokio ni jambo la kushukuru mungu kwa mafanikio ni makubwa sana kwa usitawi na maendeleo ya jamii. - Idadi ya wanavikundi wote ni 464 ambapo ni jumla ya vikundi 27 toka katika kata zote tano za mpango wa WORTH. Ambapo ni watu 300 wameweza kujiunga na fuko wa hifadhi ya jamii ya nSSf kama wanachama mabao tunategemea watapata huduma ya matibabu katika hospitali mbalimbali za hapa Tabora na kwingineko kulingana na tatizo husika pia zaidi ya watoto 2000 wataweza kunufaika kupitia mpango huu. -Wanavikundi waliojitokeza wote walriweza kujiunga na kuwa wanachama wa NSSF ambapo kila mwanachama atachangia elf 16 kwa miezi mitatu tunaamini wataweza kwani WORTH itawasaidia kupitia vikundi vyao pia mkopo wa nssf utawasaidia katika kukuza mitaji ta biashara zao. -Pia idadi ya wakina mama wengi zaidi wariweza kuhasika nakujiunga na mpango huu kupitia NSSF imetia hamasa kubwa sana takribani vikundi vinne vimeweza kuundwa kupitia mpango wetu huu ambapo mbugani vikundi viwili na ngambo kikundi kimoja pia isevya kikundi kimoja hii ni hamasa kubwa na jamii ineitikia vizueri. -Suala la mkopo kupitia saccoss watakazo unda wanavikundi hii ni faida kwetu kwani hii itawasaidia kuongeza mitaji yao kwa ajiri ya buiashara zao pia wakitumi fursa ya vikundi vya WORTH ambavyo vitakuwa kama vikundi mama vya kuirea ile saccoss yako. -Pia shirika la hifadhi ya la jamii limeweza kutupatia shiling lakini moja na nusu Tsh 1500000 kama mchango katika kusaidia jamii, kwani wamehamasika sana kupitia mchakato wetu huu kwa kupitia vikundi vya wORTH. Hii itakuwa ni njia nzuri kwa mashirika mengine kuhamasika pia na kutuunga mkono katika harakati zetu za kuona jamii inasaidiwa na iwe na maisha bora kupitia mradi wa pamoja tuwalee.
|
Chanhamoto. In each case any development in all communities that challenge is something that is inevitable in view of the other side is a feasible plan for the success of social development. - Limited understanding of education for some groups. Here are most of our group did not have enough knowledge about the service zitilewazo and NSSF. -A small number of groups during exercise to educate and mobilize communities ijiunge to fund social protection of NSSF. Solution. The issue of education is very important for our society and for the development of the nation at large. For people exist and their health is quite good even help them do their jobs effectively because they will be healthier. As an AICT will continue collaboration with other development partners to support our community is particularly vulnerable risk. Success. There is nothing happening katikkak any society that is not thankful namafaniokio it is god for success are much greater prosperity and social development. - The number of all groups is 464 which is a total of 27 groups from all five county WORTH program. Where are the 300 people have been able to join the excavation of social protection of the Fund as members goals we expect to be able to access treatment in various hospitals here Tabora and beyond depending on the problem involved well over 2000 children will be able to benefit through this program. -Wanavikundi who met all walriweza join and become members of the Fund where each member will contribute elf 16 for three months because we believe they can help through their groups WORTH Loan Fund also will help in promoting their business capital ta. -Also, the number of mothers more wariweza kuhasika nakujiunga the program through NSSF I have enthusiastically very roughly four groups have strictly created through our program is where the wilderness two groups and overseas one group also isevya one group is motivated by social ineitikia vizueri. -The issue of loan through which they will develop saccoss these groups is an advantage for us because this will help them to increase their capital to lead in their buiashara also been sending option WORTH groups as groups that would kuirea the mother of your saccoss. -Also, the agency reserves the society has been able to give us shiling but one and a half Tsh 1500000 as a contribution in helping the community, as much alerted us via this process through groups of North. This would be a good way for other organizations to become well and support in our quest to see the community be supported by a better life through a joint venture tuwalee. |
Ibyasobanuwe
|