Envaya
Parts of this page are in Swahili. Edit translations

KUWAJENGEA UWEZO VIONGOZI WA SERIKALI ZA MTAA KUSHUGHULIKIA CHANGAMOTO ZA ELIMU

Kuwajengea uwezo viongozi wa serikali za mitaa juu ya mbinu za kutatua changamoto zaelimu katika jamii wanazoongoza ni mradi mpya unaotarajiwa kutekelezwa na TEMOA mwaka 2015/2016.

Mradi unapangwa kutekelezwa katika halmashauri mbali mbali hapa nchini ikiwemo chato mkoani Geita. Shirika linaendelea na utafutaji wa fedha kwa ajili ya ufadhili wa mradi huu.Tunaomba wadau kutuunga mkono ili kuwezesha kutekelezwa mradi huu muhimu kwa maendeleo ya jamii za vijijini.

Benedict Bageni

chairman