Envaya

large.jpg

MWENYEKITI AKIMTIA MOYO KIJANA BUCHUFU ALIYEFANYA VIZURI ZAIDI KIDATO CHA TATU KWA KUPATA GPA YA 5.0 MWENYEKITI PIA ALIMZAWADIA DAFTARI TATU NA KALAMU MBILI ZA WINO

1 Januari, 2016
« Iliyotangulia Ifuatayo »

Maoni (1)

Festo Moses (Mwanza) alisema:
Hongera mwenyekiti wa shiriki letu kwa kujitoa kwako katika kuhamasisha suala la elimu nchini Tanzania, ni matumaini yangu kuwa kila mmoja wetu akitambua kuwa ananafasi ya kuchangia chichote kuhamasisha elimu nchini Tz,tutasaidia katika kulijenga Taifa hili
20 Machi, 2016

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.