Log in
SAIDIA WAZEE TANZANIA

SAIDIA WAZEE TANZANIA

Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

Kutetea na kushawishi uwepo wa mipango kuhusu watu wanaozeeka, wazee, na waliozeeka, ili kupata huduma kutoka serikalini na jamii inayowazunguka.Wazee kushiriki katika miradi ya kujiongezea kipato.Wazee kushirikishwa katika vyombo vya kutoa maamuzi. Kupinga uonevu wowote unaotokana na mila, desturi na imani zinazoweza kuvunja haki za binadamu.

Latest Updates
SAIDIA WAZEE TANZANIA has a new message in the discussion MIRADI KWA WAZEE.
fikiri mvugaro kutoka mwela theatre group: Hasante sana kwa mada yako na kutoa fursa katika kuchangia mada hii ya Wazee ni kweli unavyosema sisi vijana wa sasa ni tofauti kabisa na vijana wazamani ambao sasa ni wazee kumekuwa na vitendo vya unyanyasaji,ubaguzi kwa wazee utafikiri hawa wazee hakuwa vijana au sisi vijana hatutazeeka .... Read more
July 12, 2012
SAIDIA WAZEE TANZANIA added to its list of Partner Organizations.
June 28, 2012
SAIDIA WAZEE TANZANIA added envayaorg to its list of Partner Organizations.
Tumejiunga na shirika la envayaorg. Shirika hili limetuwezesha kutupatia ukurasa kwenye tovuti yake. Hivyo, limetuwezesha kutoa maelezo ya shughuli zetu kwa umma.
June 27, 2012
SAIDIA WAZEE TANZANIA added Tanzania Older People's Platform (TOP) to its list of Partner Organizations.
SAWATA MARA ni mwanachama wa shiriki la MTANDAO WA WAZEE TANZANIA (TANZANIA OLDER PEOPLE’S PLATFORM – TOP) ambalo wanachama wake ni mashirika 18, yanayoshughulika, na masuala ya wazee. Huwa tunashirikiana kubadilishina mawazo ya kiutendaji
June 27, 2012
SAIDIA WAZEE TANZANIA updated its Projects page.
MRADI – LIMA ALIZETI UEPUKE UMASIKINI 1.1 Utangulizi – Shirika la Saidia Wazee Tanzania, (SAWATA MARA) kwa kushirikiana na shirika la kimataifa “HELPAGE... Read more
June 27, 2012
SAIDIA WAZEE TANZANIA added 4 News updates.
Wazee baada ya kupata semina juu ya Sera ya Taifa ya Wazee, Ujasiriamari na Sheria Na.1 ya mwaka 2001, ya mfuko wa bima ya Afya ya jamii iliyotolewa katika kijiji cha Nyambono Kata ya Nyambono, kwa ufadhili wa "The Foundation For Civil Society" Dar-es-salaam, Tanzania. Semina hii ilitolewa mwezi Agosti,... Read more
June 13, 2012
Sectors
Location