Log in
MTWARA NON GOVERNMENTAL ORGANIZATION NETWORK

MTWARA NON GOVERNMENTAL ORGANIZATION NETWORK

Mtwara Mjini na Vijijini, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

Kuunganisha nguvu za pamoja za AZAKI na kujenga mahusiano kati ya AZAKI na Serikali

Latest Updates
MTWARA NON GOVERNMENTAL ORGANIZATION NETWORK added a News update.
MATANGAZO – MTWANGONET inawatangazia viongozi wote wa ASASI kuleta mipango kazi ya Asasi zao katika ofisi ya MTWANGONET ili iweze kujumuishwa na ya Manispaa, mwisho tarehe 10/8/2011. kwa maelezo zaidi fika ofisini MTWANGONET siku na saa za kazi. Pia MTWANGONET inawatangazia viongozi wa Asasi zote... Read more
July 23, 2011
MTWARA NON GOVERNMENTAL ORGANIZATION NETWORK added a News update.
PATA MAMBO WALIYOJIFUNZA WASHIRIKI WA MAFUNZO HUKO MASASI KUANZIA TAREHE 15-20 JUNE 2011.MAMBO_TULIOJIFUNZA_KATIKA_SEMINA_YA_GIZ_MASASI.docx
June 20, 2011
MTWARA NON GOVERNMENTAL ORGANIZATION NETWORK added 2 News updates.
CHAC wa Manispaa ya Mtwara Mikindani Bi. Deo Mtitu na Katibu wa Mtwara women living with HIV/AIDS(mwoliha) Bi.Mwanahamisi Bakari wakisikiliza kwa makini katika Mafunzo yanayoendelea mjini MASASI MTWARA TANZANIA. Read more
June 16, 2011
Sectors
Location
Mtwara Mjini na Vijijini, Mtwara, Tanzania
See nearby organizations