Log in
MWANZA TRANSPORTERS ASSOCIATION

MWANZA TRANSPORTERS ASSOCIATION

JIJINI MWANZA, Tanzania

Kuwaunganisha wamiliki wa Vyombo vitoavyo huduma ya Usafirishaji Abiria Jijini Mwanza. Hasusani ni vyombo vitiavyo huduma ya usafiri wa barabarani kwa kutumia Mabasi kwa sasa na tuna lengo la kuwaunganisha na wamiliki wa Piki piki za Tairi mbili na zile za Tairi tatu, kwani kisheria tayari zimeisha rasimishwa.

Latest Updates
MWANZA TRANSPORTERS ASSOCIATION created a History page.
Hapa Tanzania, miaka ya nyuma, kabla ya mwaka 2003 huduma ya Usafirishaji ilikuwa inasimamiwa na Mamlaka ya Leseni Tanzania. Mamlaka hii, kwa kipindi chote ofisi zake zilikuwa ndani ya majengo ya serikali, kwa wakuu wa Mikoa. Hivyo, kila mkoa ulipewa himaya ilio sawa na eneo la utawala wanao miliki kiutawala wakati huo na kujulikana hivyo. Kwa... Read more
March 4, 2011
MWANZA TRANSPORTERS ASSOCIATION joined Envaya.
March 4, 2011
Sectors
Location
JIJINI MWANZA, Mwanza, Tanzania
See nearby organizations