Log in
Musoma Municipal Paralegal Organization

Musoma Municipal Paralegal Organization

Musoma, Tanzania

The MMPO staff namely Emmanuel Alphonce (in the photo) providing legal education to the Nyakato Primary School pupils on "Children rights and their Responsibilities" in Musoma Municipal Council in Musoma District in Mara region.

Joseph Kanga na Debora Sandhu(Wasaidizi wa sheria kutoka Musoma Municipal Paralegal Organization -MMPO) wakitoa miongozo mbali  mbali ya utatuzi wa migogoro kisheria katika Baraza la kata ya Buhare. large.jpg

Debora Sandhu(Msaidizi wa sheria kutoka Musoma Municipal Paralegal Organization -MMPO) akitoa elimu ya sheria juu Haki na wajibu wa mtoto katika Shule ya Msingi Nyamatare "B" iliyoko katika Manispaa ya Musoma. large.jpg

 

Joseph Kanga(Msaidizi wa sheria kutoka Musoma Municipal Paralegal Organization -MMPO) akitoa elimu ya sheria juu Haki na wajibu wa mtoto katika Shule ya Msingi Nyamatare "A" iliyoko katika Manispaa ya Musoma. large.jpg

Caroline D.Marando(Msaidizi wa sheria kutoka Musoma Municipal Paralegal Organization -MMPO) akitoa zawadi kwa wanafunzi waliojibu vizuri maswali baada ya kupta elimu ya sheria juu ya Haki na wajibu wa mtoto katika Shule ya Msingi Nyamatare "A" iliyoko katika Manispaa ya Musoma. large.jpg

Debora Sandhu(Msaidizi wa sheria kutoka Musoma Municipal Paralegal Organization -MMPO) akitoa elimu ya sheria juu Haki na wajibu wa mtoto katika Shule ya Msingi Capt.Nyamsangira iliyoko katika Manispaa ya Musoma huku akimsaidia mmojawapo wa watoto wenye ulemavu.large.jpg

Emmanuel Alphonce-kulia mwisho(Msaidizi wa sheria kutoka Musoma Municipal Paralegal Organization -MMPO) akiwa katika ofisi ya Taaluma Shule ya Msingi Kigera "A" iliyoko katika Manispaa ya Musoma  akiwa na Dorica Elias-katikati(mtoto aliyerudi shule baada ya mlezi wake kupata elimu ya kisheria juu ya Haki ya elimu kwa mtoto pamoja na Mwalimu wake wa Taaluma(kushoto mwanzoni)
large.jpg

Dorica Elias alivyokutwa na wasaidizi wa sheria kutoka Musoma Municipal Paralegal Organization-MMPO kabla ya kurudi shule.
large.jpg

Mlezi wa Dorica Elias aliyepata elimu ya sheria juu ya Haki ya elimu kwa mtoto kutoka kwa wasaidizi wa sheria MMPO na kuamua kumrudisha shuleni mtoto na si kufanya biashara ndogo ndogo.
large.jpg

Emmanuel Alphonce -kushoto(Msaidizi wa sheria kutoka MMPO akitoa elimu juu ya umuhimu wa shule kwa Charles Dotto kutoka kijiji cha Kinesi wilayani Rorya katika maisha yake ya baadae kuliko kufanya biashara aliyonayo kwa sasa.
large.jpg