Injira
Indaba Africa

Indaba Africa

Mbeya, Tanzania

Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Icyongereza. Edit translations

Jamii Ya Wahadzabe

Mhadzabe%2BMaidona%2BWazaeli%2B%25281%25
Mhadzabe Bw. Maidona Wazaeli akiwa mbele ya nyumba yake.
Madarasa%2Bmawili%2Byaliyojengwa%2Bna%2B
Jengo moja lenye vyumba viwili vya madarasa ambalo halijakamilika kwa ajili ya wanafunzi wa chekechea, lililojengwa na kanisa la KKKT Dayosisi ya kati kwa gharama ya Sh.Milioni 25/=.

Nyumba%2Bya%2BMhadzabe.JPG
Nyumba ya Mhadzabe inavyoonekana baada ya kukamilika na watu kuishi ndani.
Mtoto%2B%2Bwa%2BKihadzabe%2B%25281%2529.
Picha ya mtoto wa Kihadzabe, kweli mtoto wa nyoka ni nyoka. Mtoto huyo anajifunza jinsi ya kutumia pinde na mshale hukohuko porini.
Mwandishi%2BAbby%2BNkungu%2Bakitoka%2Bnd
Mwandishi wa Habari Leo na Dailynews mkoa wa Singida Bw. Abby Nkungu akitoka ndani ya nyumba ya Mhadzabe.
Ufugaji%2Bnyuki%2Bwa%2Bkisasa%2B%25281%2

Ufugaji wa nyuki umeanza kuwa wa kisasa zaidi, badala ya ule wa kizamani.
Ndugu zetu Wahadzabe bado wanahitaji msaada ingawa jamii ya wafugaji inawaingilia katika makazi yao kwenye pori la Kipamba, wilayani Iramba,Singida.
« Inyuma Ahakurikira »

Ibitekerezo (1)

salim shamis (dar es salaam) bavuzeko
watanzania tuungane kwa pamoja kuisaidia jamii ya wahadzabe kuepukana na mila na tamaduni zilzopitwa na wakati.
5 Gashyantare, 2012

Tanga igitekerezo

Izina ryawe:
Aho uherereye
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.