Fungua
Indaba Africa

Indaba Africa

Mbeya, Tanzania

AINA HII YA VISIMA INAHITAJIKA KUSAMBAA NCHI NZIMA

visima.jpg
Moja ya kisima kilichojengwa na shirika la SHIPO mjini Njombe ambavyo vimeanza kuenea katika mji huo na kupunguza kabisa tatizo la ukosefu wa Maji, imeelezwa kuwa visima hivi vinadumu na ni rafiki wa maskini kutokana na uwezo wake katika kuzalisha maji ambayo yanaweza kutumika kwa shughuli za nyumbani lakni pia kwaajili ya umwagiliaji. Utengenezaji na ujenzi wake unatumia teknolojia rahisi kama unavyoona.

« Iliyotangulia Ifuatayo »

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.