Envaya

Indaba Africa

NJOMBE KWA WINGI ,UBORA NA BEI NDOGO GUEST HOUSE!

NJOMBE KWA WINGI ,UBORA NA BEI NDOGO GUEST HOUSE!

lodge.jpg
Mabango yanayoonyesha wapi Nyumba za kulala wageni ziko hapa ni eneo moja lina mabango zaidi ya sita yote ni Lodge tu!

gree.jpg
Moja ya Nyumba za kulala wageni zilizopo mjini Njombe ambapo bei zake ni za kishikaji! yaani Poa  haizidi 15,000/= kwa usiku mmoja wakati likitanda hilo, godoro hilo, miblanketi hiyo, Tv channel 120 na super sport plus, breackfast ya nguvu, nanihii ya nguvu  na kadhalika ya nguvu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

« Iliyotangulia Ifuatayo »

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.