Envaya

Home Based Care Volunteers Group

YOMBO VITUKA Mtaa wa machimbo /TEMEKE, Tanzania

kutoa elimu juu ya ushauli nasaa juu ya maambukkizi ya ukimwi,kutembelea wagonjwa majumbani,kutoa misaada kwa yatima,wajane,wagane na watoto walio katika mazingira magumu
Latest Updates
Home Based Care Volunteers Group added a News update.
TAARIFA ZA MWAKA 2012 TUMEOMBA RUZUKU FOUNDATION FOR CIVIL SOCIETY KWA AJILI KUELIMISHA SHERIA YA UKIMWI YA MWAKA 2008
July 6, 2012
Home Based Care Volunteers Group added a News update.
tumetoa misaada kawa yatima,tumesha hamasisha jamii kwenda kupima ukimwi,tumesha wanunulia viaa mbali mbali watoto ambo hawakuwa na vyo na kupelekea kutoto kwenda shule na sasa wana hudhuria masomo kama kawaida. – Tumesha wasaidia wanaoishi na virusi vya ukimwi walio athirika kisaikorojia kuweza kujitambua na kuishi kwa ma tumaini na mikakati.
May 19, 2010
Home Based Care Volunteers Group joined Envaya.
May 19, 2010
Sectors
Location
YOMBO VITUKA Mtaa wa machimbo /TEMEKE, Dar es Salaam, Tanzania
See nearby organizations