Log in
FAIDIKA WOTE PAMOJA

FAIDIKA WOTE PAMOJA

Wilaya ya Mtwara, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

FAWOPA imejikita katika kuelimisha jamii, kutoa elimu ya stadi za maisha kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari, kutoa elimu ya Afya kwa jamii, na elimu ya mazingira pia tunatoa huduma kwa watoto waishio katika mazingira hatarishi zaidi kwa kuwapa huduma za muhimu zinazohitajika shuleni, kama vile sare za shule, ada za shule daftari na mahitaji mengineyo ya msingi

Latest Updates
FAIDIKA WOTE PAMOJA created a Projects page.
THE PAGE IS UNDER CONSTRUCTION
June 21, 2011
FAIDIKA WOTE PAMOJA created a History page.
– UNDER CONSTRUCTION –
June 21, 2011
FAIDIKA WOTE PAMOJA added a News update.
SHIRIKA LA FAWOPA tunatarajia kuwapatia watoto waishio katika mazingira magumu mahitaji ya msingi ya shuleni. tunakusudia kuwapatia watoto wawili baiskeli kwa ajili ya kuendea shuleni na wengine tunakusudia kuwapatia daftari, peni pamoja na sare za shule. misaada hii inatoka kwa wanachama wa FAWOPA wenyewe kwa... Read more
May 18, 2011
FAIDIKA WOTE PAMOJA joined Envaya.
May 18, 2011
Sectors
Location
Wilaya ya Mtwara, Mtwara, Tanzania
See nearby organizations