Log in
ARV Esupat Group

ARV Esupat Group

Unga Limitedi, Arusha, Tanzania

Ujasiriamali, kusaidia watoto walioachwa na waliofariki na Ukimwi, Kutoa Elimu sahihi kwa wanaotumia Dawa za kupunguza makali ya VVU Ukimwi Kuhamasisha jamii kupima virusi vya ukimwi

Latest Updates
ARV Esupat Group added 3 News updates.
JUKWAA LA WAPAMBANAJI VVU/UKIMWI KATIKA MANISPAA YA ARUSHA: Jukwaa ni nini? ni mkusanyiko wa naharakati kutoka eneo moja wenye lengo linalofanana na kusudio moja kufuatilia matokeo yaliyokubaliwa kwa pamoja hivyo;jukwaa hili ni chanzo cha kuandaa mikakati ya kufikisha malengo ya kikundi. MAANA YA WAPAMBANAJI: Ni wanaharakati... Read more
May 4, 2012
ARV Esupat Group submitted FCS Narrative Report.
May 21, 2011
ARV Esupat Group updated its home page.
September 14, 2010
ARV Esupat Group joined Envaya.
June 10, 2010
Sectors
Location
Unga Limitedi, Arusha, Arusha, Tanzania
See nearby organizations