Envaya

Envaya

Utafiti wa jamii kuhusu hali ya mafuriko jijini Dar-es-salaam

Respondent: NETWORK FOR VULNERABLE RESCUE FOUNDATION (N.V.R.F)
Time Submitted: 27 Januari, 2012 08:43 EAT
Tabata Kisukuru (Bonde la chumvi)
Miundo mbinu
Yamebeba kila kitu ndani ya nyumba
Sina pa kulala naishi kama mnyama
Vingi viliondoka na maji
Kabla ya mafuriko: Niko nyumbaniSasa: (Hakuna jibu)
Mzee Rashidi Ally Mhina anasema amebebewa kila kitu na maji
Unapoona unyevu wa maji kwenye ukuta ni nyumba ya mzee Rashidi anaomba kuhamishwa yuko tayari kuhama kilio chake ni kwanba wamekumbukwa watu wa Jangwani tu lakini watu wa Tabata hawaja kumbukwa.
« Jibu lililotanguliaJibu lifuatalo »

« Rudi nyuma kwenye ripoti