Envaya

Envaya

Dar es Salaam Flooding Community Survey

Respondent: Promotion of Education Link Organisation (PELO)
Time Submitted: January 29, 2012 at 9:42 PM EAT
mabibo bondeni
Maji ya bomba katika eneo la mabibo si ya uhakika.Yanatoka mara moja moja hali inayowafanya wanawake kuamka usiku kutafuta maji.Mabibo tunahitaji maji ya bomba ya uhakika.
Nyumba yangu imeharibika kabisa.Chumba kimoja kilisombwa na maji na vyombo vyote vilivyokuwemo.
Vifaa vyangu vya kazi vilichukuliwa pamoja na chumba kilichosombwa na maji.Hali yangu ya kipato ni mbaya.Kazi yangu ni ufundi seremala.Napata kazi lakini nashindwa kuwahudumia wateja kwa sababu ya kukosa vifaa vya kazi.
Kulikuwa na mabomba yalikatwa na mafuriko,hali ya maji ya bomba ikawa mbaya sana nyakati za mafuriko.Tulitegemea maji ya kununua ambayo ni maji chumvi lakini idara ya maji walikuja kutengeneza baadaye.
Before flooding: Nusu saaNow: Nusu saa
(No Response)
« Previous responseNext response »

« Back to report