Envaya

Envaya

Utafiti wa jamii kuhusu hali ya mafuriko jijini Dar-es-salaam

Respondent: Africa Upendo Group
Time Submitted: 14 Januari, 2012 14:24 EAT
Mtaa wa Mwongozo Makuburi wilaya ya kinondoni
Makazi ya kuishi,Fedha,Chakula,Miundo mbinu na maji safi
mafuriko yamevunja ukuta wa nyumba na kuharibu kabisa vitu vyote vya ndani
sina mahali pa kuishi na pia naishi kwa wasiwasi mkubwa kwani serikali haijatuambia nini cha kufanya na hatujui tufanyeje kwani wamesema tusubiri kwanza.Nimeadhirika kiakili pia.
ni ya kijani na haifai kwa matumizi ya mwanadamu
Kabla ya mafuriko: (Hakuna jibu)Sasa: (Hakuna jibu)
« Jibu lililotanguliaJibu lifuatalo »

« Rudi nyuma kwenye ripoti