Envaya

Envaya

Dar es Salaam Flooding Community Survey

Respondent: Africa Upendo Group
Time Submitted: 14 Mutarama, 2012 at 14:29 EAT
Mtaa wa Mwongozo Makuburi Wilaya ya Kinondoni
Daraja,Makazi,Maji,fedha
Choo changu kimezolewa na maji na vifaa vya ndani
siwezi kwenda kujisaidia hadharani hakuna usiri.Pia vitu vya ndani sina vya kutumia naishi kwa kuombaomba
hakuna maji salama ni shida tupu
Before flooding: (No Response)Now: (No Response)
« Previous responseNext response »

« Back to report