Envaya

Envaya

Utafiti wa jamii kuhusu hali ya mafuriko jijini Dar-es-salaam

Respondent: Tanzania Women of Action(Tawa)
Time Submitted: 31 Januari, 2012 20:13 EAT
keko mwanga B
kufanyiwe fumigation kwani maji bado yametuama hivyo kuua wadudu , kujengwe mitaro midogo itakayo ruhusu maji kupita kutoka eneo maja hadi jingine ,mfereji mkubwa upanuliwe na kuhakikisha ni safi kila wakati .
pikipiki yangu iiondoka na maji ambayo ilikuwa inafanya kazi ya boda boda {biasharaa].vitu vyote vya ndani kupotea makabati.magodoro,sofa,tv,friji,nguo,vifaa vyote vya jikoni vilielea juu ya maji ,vifaa vya shule na pesa ya mchezo laki tano ambayo niliiweka ndani kwa ajili ya kumkabidhi mwenyewe tarehe 24 dec
Kunisababishia madeni,magonjwa hasa kwa watoto,kupoteza kitega uchumi changu pikipiki iliyokuwa inanipatia pesa za kila siku,ujumla maisha yangu yamerudi nyuma.kulala chini ,kukosa vyombo vya kupikia na kulia chakula,watoto kukosa vifaa
vya shule
Mtaa mzima visima vilichanganyika na maji taka, ukizingatia maji ya visima ndiyo yanayotumiwa na wengi kwani si kila mwananchi ana ewezo wa kununua maji ya bomba
Kabla ya mafuriko: nusu saaSasa: sina kazi piki piki imepotea
(Hakuna jibu)
« Jibu lililotanguliaJibu lifuatalo »

« Rudi nyuma kwenye ripoti