Envaya

Envaya

Dar es Salaam Flooding Community Survey

Respondent: Tanzania Women of Action(Tawa)
Time Submitted: January 31, 2012 at 7:33 PM EAT
Keko mwanga B
kusafisha na kutengeneza mitaro midogo midogo itakayo tiririsha maji kwenye mfreji mkubwa ,kuta zilizojengwa holela na kuziba maji zibomolewe ,mfereji mkubwa ukarabatiwe ili usaidie maji kupita kwa urahisi, tupatiwe vifusi vya kuinua maeneo yetu
ukuta wa nyumba kubomoka,vifaa vyote vya ndani ,vitanda 2,kabati 1, vifaa vya kuhifadhia maji, Radio, tv. nguo zote za famila yangu yenye watu 6, kamera yangu ya digital ambayo ndio ofisi i yangu kupotea ikiwa na picha za wateja,picha za wateja za harusi zenye thamani ya laki tatu kuharibika,raptop 1 nayo kupotea
kupoteza ofisi au kaza ,kuleta madeni,ambayo yamenifanya nikose mwelekeo wa maisha ,kuanza upya maisha ,magonjwa ya mlipuko hasa kwa watoto kwa kuchezea maji machafu.maralia isiyopona tangu mafuriko yatokee mpaka leo
siku zote natumia maji ya bomba kutoka keko juu lakini kwa wenye visima havifai tena kwani si rahisi kutofautisha maji safi na taka
Before flooding: sikuwa na muda maalum kazi ya picha ni ya kuzungukaNow: sina muda maalum kotokana na kudandia kazi za picha kwa wenzangu ili nipate kula ya wtoto
(No Response)
« Previous responseNext response »

« Back to report